Tumempata Mama wa Msanii wa Bongofleva Dogo Janja Arusha ili atueleze ya upande wake kuhusu kinachoendelea kuhusu mastaa hawa Dogo Janjaro na Irene Uwoya.
Mama huyu ameeleza yafuatayo >>> “Taarifa za kuoa nimezipata na niliambiwa na uongozi na yeye mwenyewe Dogo Janja aliniambia kwahiyo mimi nimeshukuru mwanangu kupata jiko”
Kufahamu KILA KITU alichosema Mama Dogo Janja bonyeza play kwenye hii video hapa chini
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini