Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Exclusive: Nape Afunguka Tukio la Lissu ‘Hakuna Watu Wasiojulikana’ (Video)


Aliyekuwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amefunguka kuzungumzia hali ya siasa nchini pamoja na matukio yanayoendelea. Akiongea na Bongo5 Mkoani Dodoma, Mbunge huyo wa Mtama, amezungumzia tukio la Tundu Lissu kipigwa risasi, hali ya demoksaria nchini pamoja na mambo mengine mengi.


VIDEO:


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017