Kwenye Mitandao ya Jamii kunazunguka hiyo picha hapo juu ukionyesha kuwa kuna watu kutoka Tanga Wanachangisha Mchango kwa ajili ya kuwasomea Albadiri kwa wote waliofanya tulikio hilo. Wameomba wajitokeze wote waliofanya unyama kwa Lissu kabla ya Dua kusomwa
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini