Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Aliyekuwa Mkurugenzi Tanesco Kabla ya Kutumbuliwa na Rais Magufuli Ageukia Uchungaji..Aandaa Semina ya Maombezi


Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Nchini(Tanesco) Mhandisi Felchesm Mramba sasa aibukia Kanisani ambapo ameandaa semina itakayoambatana na maombezi katika kanisa la TAG Changanyikeni.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017