
June 2, 2017 ilitolewa taarifa ya kupatikana kwa ndugu wa marehemu mzee Francis Maige Kanyasu ambaye anatajwa kuwa mmoja wa waliochora Nembo ya Taifa ambapo ilielezwa pia kuwa mwili wake utaagwa leo June 3, 2017 katika Hospitali ya Muhimbili.
millardayo.com ilikuwa Muhimbili katika shughuli za kuagwa kwa mwili mzee Francis Maige ‘Ngosha’ ambao umesafirishwa kwenda kijijini kwao Igokero, Wilaya ya Misungwi, Mwanza kwa ajili ya mazishi na imezinasa picha 15 kutoka kwenye tukio hilo…















Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini