WASAFI na Gigy money ni marafiki wa karibu, gigy money alishasema live kuwa anamkubali Diamond Platinumz zaidi ya Alikiba.
hivi karibuni gigy alitembelea studio za wasafi na kupost video ikionyesha akienjoy na wasafi, pia video moja ikimuonyesha akimlazimisha rayvany kurekodi nae selfie video huku rayvany akikataa kwa kusema anafamilia.
Video:
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini