Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

IGP Sirro Afanya Ziara Ya Kikazi Nchini Kenya

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akiwasili uwanja wa ndege kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, akitokea Nairobi nchini Kenya kuhudhuria hafla ya ufungaji wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kukabiliana na matishio ya kigaidi na uhalifu mwingine unaovuka mipaka Majeshi ya Polisi ambao ni wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO), kushoto ni kamishna wa Polisi Jamii nchini (CP) Mussa Ali Mussa. 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akizungumza na Kaimu kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Lucas Mkondya (wa kwanza kushoto), muda mfupi alipowasili nchini akitokea Nairobi nchini Kenya.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro (wa kwanza kulia), akifurahia jambo.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017