Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

LISSU Amtolea Uvivu Prof Lipumba...Adai ni Msaliti Kama Yuda Eskarioti



Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS), Tundu Lissu amesema Ukawa wanaLtangaza vita na CUF ya Profesa Ibrahim Lipumba kama walivyo vitani na CCM ya Rais John Magufuli kwakuwa Lipumba hana utofauti na Yuda Iskarioti aliyemsaliti Yesu.


Lissu amesema Profesa Lipumba amewasaliti kwa kuwa yeye ndiye aliyempitisha Lowassa (Edward) kuwa mgombea wa uraisi kwa tiketi ya Ukawa


"CUF ya Lipumba ilitusaliti kama Yuda Iskariot alivyomsaliti Yesu,"amesema Lissu.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017