Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Picha Za Ebitoke Zawateka Mashabiki Instagram

Komediani wa kike Bongo, Anastazia Exavery ‘Ebitoke’ akiwa katika pozi.
…Akiwa kwenye pozi la mbinuko wa aina yake.
…Akiwa kakumbatia mti.
…Kakumbatia mkoba.
…Pozi la aina yake.
KOMEDIANI wa kike Bongo, Anastazia Exavery ‘Ebitoke’ (19) anayefanya vizuri zaidi kupitia mitandao ya kijamii alipitia mambo mengi ikiwemo kufanya kazi za ndani ‘house girl’.
Komediani huyo amekuwa kivutia baada ya picha zake kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii huku mashabiki zake wakiendelea kumpongeza kwa mapozi yake anayoyaonesha katika picha zake.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017