Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Diamond Platinumz Aleta Camera Ya Ajabu Kwajili Ya Muziki Wa Bongo,Ayasema Haya



Mtambo ushanilia sana nauli zangu kuusafiria Kabulu kushutia nipate Quality kwenye Video… nafurahi kuona sasa imeletwa na inapatikana Tanzania… ili kinachofaa kushutia home nasi tushutie….haya wacheki @zoom_production_ kwa Kuikodisha Camera hii RED DRAGON 6K!!! na pia kukodisha vifaa vingine vya Kushutia! @zoom_production_

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017