Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Haji Manara Awatoa Povu Mashabiki Wa Yanga Baada Ya Kupost Video Hii

Kama ilivyokawaida yake Afisa habari wa Simba Haji Manara Kusumbua upande wa Pili kwa watani wake Yanga, Zile Goli 5 ambazo Yanga alimtupia Mbeya City ndiyo chanzo cha Manara kutupia Madongo.

Haji Manara msomaji wa Kwataunit.com  katika post yake aliweka Video ambayo ilionyesha kipindi kile Simba anaifunga Yanga goli 5 kwa Sifuri katika uwanja wa Uhuru na Kuandika

""Asiyejua atokapo..hajui aendapo...huu ni ukumbusho mujarrab" ikukutoa povu naomba liwe la njano......ukitusi ni block tu...cm yangu.bando langu na vdole pia vyangu.... KHAMSA.FIVE.PANCH.SEBRO..ni tano๐Ÿ™‡๐Ÿ™‡๐Ÿ‘Š"
Katika post hiyo kama inavyoonekana hapo chini aliwaambia watakaomtusi Atawablock katika akaunti yake hiyo ya Instagram.


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017