By Mange Kimambi
"Nimepitia kidogo sheria ya matunzo ya mtoto ya Tanzania. It seems sheria
hiyo ipo sawa na sheria ya Marekani . Wanaangalia kipato cha wazazi na matunzo
yanatolewa kulingana na kipato cha mzazi. I think Tatizo lililoko TZ ni kwamba
wanawake wengi huwa wanashindwa kuprove mahakamani kipato cha mwanaume.
.
Hamisa don’t take it for granted kuwa umezaaa na Diamond. Kama utashindwa
kupeleka ushahidi wa kipato chake unaweza pewa matunzo ya laki kwa mwezi... So
please be very careful.
.
.
Kwanza ujue Diamond hawezi kusema kipato chake cha kweli mahakamani, you have
to force him. Ila mwache kwanza aidanganye mahakama kuhusu kipato chake ndo
wewe utoe ushahidi.... Je unapataje ushahidi? Ushahidi wa kwanza ni uombe
mahakama ikupe order ya bank account zake zoooooote. Bank zooote unazozijua Dai
anaweka pesa zake wapelekee order ya mahakama kuwa wawakilishe mahakamani
statement za Diamond from 1Jan 2015 mpaka sasa hivi.
.
Kampuni zooote zilizoratibu show zake the last one year wapelekee order ya
mahakamani watoe contract . Pamoja na kampuni zilizompa matangazo,kwa mfano
Danube, Vodacom na wale Diamond Karanga. Wooote wachape barua za mahakamani
wawasilishe mikataba. .
Then peleka order ya mahakama kwa kampuni ya WCB na ile ya website wanayouza
nyimbo za wasaniii ambayo yuko share ya Kusaga. Pamoja na Chibu Perfume ambazo
pia yuko share na kusaga. Mchape barua kusaga na hizo kampuni waonyeshe
ownership na income.
.
.
Ukitoka hapo wachape barua TRA kutoa record ya malipo yake ya TRA
.
.
Ila cha kwanza ni statement za benki pesa zake im sure haziwekagi chini ya
uvungu.
.
.
You need a good family lawyer sio lawyer ilimradi lawyer jina. Personally I
recommend Mama Tenga, Huyu mama wa kipare hana mchezooooooo Diamond atatoa
matunzo ya maana. Babangu hakuacha will ila Mama Tenga alinipigania nikapata
haki yangu.
.
.
Cha mwisho kabisa, please usisusie matunzo, ukisusa watafanya sherehe, ndio
wanachotaka ufanye. fight for your son. Huyo Bi sandra hata aposti nini mdharau
mtu mzima hovyo yule. Kama ulifight mpaka Dai akamkubali mtoto hadharani basi
fight mpaka mtoto apewe matunzo yanayoendana na kipato cha babake"
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini