Nimeishi na mume wangu mwaka wa tatu sasa, amekua akipiga kazi mpaka nafurahi, ananifiki kilele hata mara nne kwa siku moja, lakini sasa hivi ni wiki ya tatu hasimamishi yani mpaka hata yeye mwenyewe anakosa amani kabisa, najaribu kumtega kwa kila mikao na visa visa vywa kimahaba lakini imeshindikana. Naombeni ushauri jamani kama kuna namna nikamsaidia mume wangu, nampenda sana, sitaki kumsaliti.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini