Malkia wa filamu nchini, Wema Sepetu ameshare picha katika mtandao wake wa kijamii akiwa na muonekano kama ni mjamzito huku picha hiyo ikionekana wazi kwamba ni ujio wa movies yake mpya.
Wema Sepetu akiwa kazini
Muigizaji huyo mwenye mashabiki wengi katika mitandao ya kijamii, alipost picha hiyo na kuandika ujumbe “Sinema Zetu International Film Festival here we Come… (SZIFF). Download WemaApp only Playstore. Dont mind my Vitunguu,”
Mashabiki wengi wameonyesha kuguswa na picha hiyo kutokana na mwanadada huyo kudaiwa kwamba hashiki mimba kutokana na kukaa muda mrefu bila kupata mimba.
Haya ni maoni ya mashabiki hao.
Aikamtaita: I wish uwe hivyo na Mungu akukuzie .Mungu anajibu maombi.
Angella_elias: Dear wema I play fo u Nitafurahi Siku ukiwa na kibend Wallah yn nitachizika @wemasepetu
Abrina6064: Madam nakuombeaa iwe kwel siku moja in shall Allah 

Tinnahcosmo: Mungu afungue milango ktk uzazi wako ili siku moja na ww uitwe mama nakupenda na nakuombea mungu akupe mtoto tu jaman najua iyo ndo itakua furaha tosha ya maisha yako
Montanarizy_anny: Mimba imekupendeza naomba mungu akuzidishie ndoto zako siku moja zitimie dada @wemasepetu my love inshalah mungu atakufanyia wepesi
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini