Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

PICHAZ:Tazama Muonekano Wa Nje Na Ndani Wa Jumba La Kifahari La Rais Mugabe Ambako Amezuiliwa Na Jeshi

Wakati nchi yake ikiwa kwenye orodha ya nchi masikini duniani lakini hiyo ni tofauti kabisa na maisha ya kiongozi wao, Robert Mugabe ambaye wiki hii jeshi la nchi hiyo limemshikilia nyumbani kwake kwa sababu za kiusalama.
See inside Robert Mugabe?s 25 bedroom mansion where he is now being held prisoner (photos)
Rais Mugabe ambaye ameitawala Zimbabwe kwa miaka 37 katika kipindi chote hicho nchi hiyo imetajwa kuwa kwenye mtikisiko mkubwa wa kiuchumi na kisiasa.
Hapa zimenyakwa picha za jumba lake la kifahari lililopo katika eneo la Borrowdale jijini Harare lenye vyumba 25 vya kulala, Swimming Pool tatu na Sebule 5. Na jumba hili ndio sehemu ambayo Rais Mugabe ameshikiliwa kwa muda na Jeshi la nchi hiyo.
See inside Robert Mugabe?s 25 bedroom mansion where he is now being held prisoner (photos)
Muonekano wa jumba hilo la kifahari kwa nje.
See inside Robert Mugabe?s 25 bedroom mansion where he is now being held prisoner (photos)
See inside Robert Mugabe?s 25 bedroom mansion where he is now being held prisoner (photos)
See inside Robert Mugabe?s 25 bedroom mansion where he is now being held prisoner (photos)
See inside Robert Mugabe?s 25 bedroom mansion where he is now being held prisoner (photos)
Kitanda

Sebuleni

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 
Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017