Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Ubuyu Exclusive: Inasemekana Eti Tunda Abeba Mimba ya Diamond


Kwa habari za kunyapia nyapia zinadai kuwa video vixen mwenye mvuto wa hali ya juu nchini Tanzania na Africa kwa ujumla Tunda Sabasita amebeba ujauzito wa msanii Diamond Platinums

Wawili hao inadaiwa kuwa wameanza uhusiano wa kimapenzi muda mrefu sana ila wanajitahidi sana kujificha ili penzi lao lisigundulike haraka mpaka pale muda muhafaka utakapo wadia kuweka wazi uhusiano wao.

Lakini siku zote bwana mapenzi ni kikohozi hakiwezi kufichika ,mwanadada Tunda ameonesha dalili zote za kushindwa kuvumilia suala hilo na kwa namna moja au nyingine amekuwa akionesha mahaba yake ya dhati kwa msanii diamond platinums.

Na ameenda mbali zaidi kwa kuamua mpaka kuweka dp ya diamond platinums kwenye account yake ya Instagram Screenshot_2017-11-05-00-15-50.jpg


Usipitwe na Habari Muhimu, Install App  Yetu

Android ===>  Bofya hapa

Haya sasa vita ya Zari vs Hamisa Mobeto tupa kule

Habari ya mujini kwa sasa ni Zari vs Tunda

Je Zari ataweza tena kuvuka changamoto hiii????





Maoni ya Wadau Baada ya Tundu Kupost Picha ya Diamond:



Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017