Awali ilielezwa kuwa Uwanja mpya wa Stamford Bridge unaomilikuwa na Chelsea utakuwa na thamani ya pauni million 500.
Lakini hata baada ya mmliki wa Chelsea, Roman Abramovich kumaliza kuzungumza na kampuni ya Kichina, ikaonekana ni fedha hiyo.
Baadaye mazungumzo ya kuongeza vita kadhaa yalifanya ufikie pauni million 8000.
Lakini kwa mara nyingine jana imeelezwa thamani yake itakuwa hadi pauni billion moja na kuufanya uwanja huo pindi utakapokamilika kuwa ndiyo uwanja ghali zaidi barani Ulaya.
Kwa sasa, Stamford Bridge ni moja ya viwanja ambavyo si vizuri sana lakini vinaingia kwenye list ya moja ya viwanja vyenye hadhi kwa England na Ulaya.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini