Kada wa chama cha ACT Wazalendo Monalisa Ndala amesema kuwa hoja aliyoitoa Jerry Muro ya kumjibu Zitto Kabwe kuhusiana na takwimu za uchumi, yeye alitamani kuona wanabishana kwa hoja na sio mipasho kama alivyoitoa.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini