Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

VIDEO::Inasemekana Msanii wa Muziki Ferouz Hali Ngumu...Anaswa Live Akiuza Samaki Mchele kitaa

Video inayosambaa ikimuonyesha Ferouz wa Daz Nundaz msanii aliyetikisa na wimbo uitwao wa Starehe uliofanya vizuri mpaka akapewa zawadi na mh rais wa zamani mkapa.
Hapo awali inasemekana maisha yake yalikuwa magumu na pia ni mtumiaji wa madawa ya kulevya! VIDEO: 

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017