Waziri wa Maliasili na Utalii Dr. Hamis Kigwangalla amesitisha ugawaji wa vitalu na ameahidi atafuatilia vitalu vyote hata ambavyo alivigawa Lazaro Nyalandu kinyume na utaratibu alipokuwa Waziri wa Maliasili na Utalii.
Usipitwe na Habari Muhimu, Install App Yetu
Android ===> Bofya hapa
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini