
Rais wa Mpito, Emmerson Mnangagwa aidhinisha rasmi tarehe ya kuzaliwa ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Robert Mugabe (21 Februari) kuadhimishwa kama Sikukuu ya Kitaifa
Itatambulika kwa jina la "Robert Gabriel Mugabe National Youth Day" kama ambavyo ilipendekezwa na chama tawala mnamo mwezi Agosti mwaka huu!
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini