Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Ajira: Nafasi 300 za Kazi Zimetoka, Mshahara Mnono Kutolewa Changamkia Fursa

Invetrack consulting services  Tanzania inatangaza nafasi 300 za madereva watakaofanya kazi na "emirates tax" huko Abu Dhabi falme za kiarabu .kampuni itatoa mshahara mnono ikiwa pamoja na malazi bure ,bima ya afya,muko wa jamii,likizo na stahiki zake nk  usaili utafanyika  tarehe 22 april 2017 katika viwana vya leaders club kinondoni dar es salaam kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni.



Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017