MODO ‘aliyepinda’ Lulu Auggen ‘Amber Lulu’ amefunguka kuwa, yeye linapokuja suala la kuchagua
mwanaume wa kuwa naye kimapenzi wala hachagui, anachoangalia ni kuridhishwa faragha.
Akizungumza na gazeti hili juzikati, Amber Lulu alisema kuwa watu wengi wanadhani ili mwanamke ayafurahie
mapenzi lazima awe na mpenzi mwenye mali nyingi au anayemiliki magari ya kifahari wakati kwake yeye
ni tofauti.
“Mimi naweza kutembea hata na kichaa, kikubwa awe anajua ‘kuu-take care’ (kuuhudumia) msambwanda wangu, lakini pia
mwanaume wa kuwa na mimi kikubwa ajue kunipa furaha, haijalishi ni mtu wa aina gani, yaani hata chizi,” alisema Amber Lulu.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini