#AmberLulu kupita ukurasa wake Instagram alikuwa mubashara ameweza kuonesha ushabiki wake hadharani na mapenzi yake kwa #DiamondPlatnumz.
Akiwa mubashara kupitia kwenye akaunti yake ya Instagram amesema kuwa ajaona Msanii yoyote ambaye anaweza kumlinganisha na #Diamond kwani ni msanii mkubwa Afrika hata #AliKiba bado ajafika level za #DiamondPlatnumz
#Amberlulu👉“Diamond ni msanii mkubwa sana Afrika hata Ali Kiba atii mguu hata kidogo hata ukiangalia katika timu yake Mond yuko vzuri na hata madensa wake wanaishi vizuri hata mtu anayemlinganisha Kiba na Chibu anakosea sana”Alisema
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini