Gari linalotembea bila kuwa na dereva kutoka kampuni ya Google. Kampuni ya Teknologia ya Google imetengeneza magari yanayojiendesha yenyewe.
Kampuni hiyo ambayo imejijengea sifa kwa njia ya kipekee ya utendaji kazi wake katika sekta ya kiteknolojia imekuwa ikikarabati magari ya kawaida. Lina uwezo wa kumpeleka abiria bila kuwa na dereva. Gari hilo la kiteknolojia halitakuwa na usukani.
Google imesambaza picha ya gari hilo…
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini