Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Angela Kairuki Adai Ripoti ya Ukaguzi wa Vyeti Feki Haijawagusa Wakuu wa Mikoa


Mheshimiwa Angela Kairuki, Waziri wa Nchi wa Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora (akikabidhi ripoti ya Vyeti kwa Rais Chuo Kikuu Dodoma) amesema "Uhakiki huu haujafanyika kwa viongozi wa Kisiasa ambao wako serikalini kama vile Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao mamlaka ya uteuzi ndio wanajua ufanisi wa kazi zao na pia katika Siasa suala ni kujua kusoma na kuandika."

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017