Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Bifu La Mange Na Jack Wolper Lafika Pabaya...Wolper Amjibu Mange Hivi


Bifu la Mange na Wolper lililoanza Jana ghafla linaendelea, Wolper Amjibu Mange Hivi :

"Mange Kimambi,Usinitafute sana kwasababu mm naishi nitakavyo sio utakavyo wala watakavyo,pili Ustar wangu nahisi hauna 

mvutano wowote na ww wala haudhuru familia yako!Unajua ww unaweza ukawa sawa kwa kile unachokifanya lakini pia unaweza ukawa sawa kutokana na mawazo yako yanavyokutuma,Mimi binafsi nina maamuzi yangu na sipelekeshwi na mtu kwasababu mm ni mtu mzima na nina fikiria kila kitu kabla ya mtu yoyote!Ninapoamua kupost au kusema chochote hayo ni maamuzi yangu chuki zako ww zisipelekee kufanya kila mtu achukie usiowapenda no no no sio mm JACKLINE WOLPER MASSAWE,Nafikiri tunapishana vitu vingi sn km hivyo mm sina akili ww unazo,Sasa ww dada nikuulize kitu ulitaka mm nifanyaje nije ulaya kukusapoti tumchukie Bashite au???maana sikuoni kwenye point yani mm kila kitu kwako naona chuki ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚my dear people are different siwezi kumuona mtu mbaya eti kisa ww Mange umemuona mbaya haaaaaa we ni nani?????Ulikuwa na mchango wowote kwenye zile sh@h@w@ zilizompa mama mimba yangu????Kama ww vibabu vyako vya kizungu huko vinakupa M2 basi usifosi tufanane!Kingine mbona unapanic sn kwenye maisha ya watu binafsi kuliko hao watu wenyewe?Sawa najua kuchamba ni ajira yako ya pili huku insta tukiachana na ile ya kutafuta vizungu huko!Lakini sasa naona unatafuta kiki kila mtu umuweke kwa Acc yako,hiyo inaonesha wazi BASHITE ameshakushinda sasa umeona unifate mm ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚my friend sijaanza kuwekwa kwenye Acc za watafuta followers kwako ๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰Nimeanza siku nyingi kweeeeli kwahiyo ww nakuona km Repoter tu wa huku Insta so fanya kazi yako mama,Alafu Naywamitego ndo haina gani ya gari jipya hiyo,๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณMm nadeal na ww leo sipo kwa ajili ya mwingine... ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†Mbona unaforce kutaka kujua mambo yangu na huku hujui,Eti nimefumaniwa nifumaniwe na nani mm mjini hapa habari isitapakae wkt unasema nimefumaniwa huna hata EVIDENCE ya chupi...Embu kanywe hata TREVO zile dawa uongeze supu supu za miguu bibi weeeeh usiniletee u SKELETON ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hivi unajua ww una stress za watu sn kuliko zako binafsi,๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œBashite ananitia vidole wakati huo ww unakua mshika K!s!M! Au vuz!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Unajua ww ustake kuniambukiza stress zako na chuki zako STAKI usiniforce tufanane na usinipakazie mambo ambayo yanahusisha chuki zako.."

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017