Madai ya taarifa hiyo ni kwamba Serikali ina lengo la kuwalazimisha wananchi kuangalia filamu za ndani (bongo movie).
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na bodi hiyo leo zinaeleza kuwa habari hiyo haina ukweli wowote na umma wa Tanzania una tahadhalishwa kuipuuzia .
“Taarifa hizi zina lengo la kupotosha na kudhoofisha juhudi za Serikali za kuhakikisha kila mtu anafanya biashara ya filamu kwa kufuata sheria na kanuni zilizopo,”imeeleza taarifa hiyo.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini