Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege limetoa listi ya viwanja vya ndege 20 ambavyo vinahudumia idadi kubwa ya abiria ambao wanafanya safari za anga kwa mwaka 2016.
Katika listi hiyo uwanja wa ndege wa Atlanta, Marekani unaongoza kwa kutoa huduma kwa abiria milioni 104,171,935 na nafasi ya 20 ikishikiliwa na Bangkok Suvarnabhumi, Thailand ukitoa huduma kwa abiria 55,892,428.
Listi kamili isome hapa chini;
- Atlanta, Marekani – abiria 104,171,935
- Beijing – China – abiria 94,393,454
- Dubai International (DXB), Falme za Kiarabu – abiria 83,654,250
- Los Angeles (LAX), Marekani – abiria 80,921,527
- Tokyo Haneda (HND), Japan – abiria 79,699,762
- Chicago O’Hare (ORD), Marekani – abiria 77,960,588
- London Heathrow (LHR), Uingereza – abiria 75,715,474
- Hong Kong (HKG), China – abiria 70,305,857
- Shanghai (PVG), China – abiria 66,002,414
- Paris Charles de Gaulle (CDG), Ufaransa – abiria 65,933,145
- Dallas/Fort Worth (DFW), Marekani – abiria 65,670,697
- Amsterdam (AMS), Uholanzi – abiria 63,625,534
- Frankfurt (FRA), Ujerumani – abiria 60,786,937
- Istanbul (IST), Uturuki – abiria 60,119,876
- Guangzhou, China (CAN) – abiria 59,732,147
- New York JFK (JFK), Marekani – abiria 58,873,386
- Singapore (SIN) – abiria 58,698,000
- Denver (DEN), Marekani – abiria 58,266,515
- Seoul Incheon (ICN), Korea Kusini – abiria 57,849,814
- Bangkok Suvarnabhumi (BKK), Thailand – abiria 55,892,428
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini