Mbunge
wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza na mgonjwa Agnes
Nobert aliyekuwa amelazwa katika Zanati ya Zogolo baada ya kutembelea
juzi wilayani Nzega mkoani Tabora juzi.
Mbunge
wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza katika mkutano wa
hadhara na wananchi wa Kata ya Nzega ngodo kabla ya kuwakabidhi gari la
wagonjwa juzi
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, akionyesha gari la wagonjwa alilolikabidhi kwa viongozi wa Kata ya Nzega ndogo kwa ajili ya Zahanati ya Zogolo iliyopo wilayani Nzega mkoani Tabora juzi.
Mbunge
wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza na Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Mjini wa Nzega baada ya kukagua ujenzi wa Sekondari ya
Nzega ndogo juzi.
Mbunge
wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza na wasimamizi wa
ujenzi wa barabara ya Ngudu iliyopo Kata ya Ngeza ndogo mkoani Tabora
juzi. Picha na Fidelis Felix.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini