Yaani kwa haraka haraka naona kama hawa wanawake wote members hapa wana vijana wa kuwaweka sawa(Nina marafiki wengi sana hapa so they tell me stuffs)
Ikifika mahali mwanamke ana mentality ya kua fit atatafuta a fit partner pia....
Ushauri wangu kwa wanaume ukiona mke au mpenzi wako anafanya mazoezi na diet ili awe vizuri afu wewe umekalia kufuga kitambi lazima utachapiwa tu hakuna namna yaani
Ni tahadhari tu maana I have seen enough na sio Wanawake Wote Wenye mchezo huo wengine wanajiheshimu
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini