Mtu wangu najua umeshaona wasanii au au mastaa mbalimbali wakibadilisha muonekano wa nywele zao basi hii isikupiti mtu wangu mkali kutoka Bongoflevani Diamond Platnumz kutoka Lebel ya WCB ameamua kubadilisha muonekano wake wa nywele.
.Huu ndio muonekano mpya wa nywele za Diamond Platnumz
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka