Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Suleimani Jafo akijibu maswali ya wabunge mbalimbali.
Naibu Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Susan Kolimba akijibu maswali ya wabunge.
Mbunge wa Mwibala (CCM) Mhe. Kangi Lugola akiuliza swali.
Mbunge wa Viti Maalum Morogoro (CCM) Mhe. Christina Ishengoma akiuliza swali.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula akijibu maswali ya wabunge.
Mbunge wa Viti Maalum (CUF) Mhe Saverina Mwijage akiuliza swali.
Naibu Waziri wa fedha na Mipango Mhe.Dkt. Ashatu Kijaji akijibu maswali ya wabunge mbalimbali.
Mbunge wa Chilonwa (CCM) Mhe. Joel Makanyanga akiuliza swali.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Ramo Makani akijibu maswali ya wabunge mbalimbali katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017.
Mbunge wa Viti Maalum Arusha (CCM) Mhe. Catherine Magige akiuliza swali.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Isack Kamwelwe akijibu maswali ya wabunge mbalimbali.
Mbunge wa Mikumi (CHADEMA) Mhe. Joseph Haule akiuliza swali.
Mbunge wa Busokelo (CCM) Mhe. Fredy Mwakibete akiuliza swali.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akimsikiliza Naibu wake Mhe. Anastazia Wambura.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura wakijadiliana jambo na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Gerson Lwenge.
Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Charles Tizaba wakijadiliana jambo na Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage.
Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Picha na Raymond Mushumbusi Dodoma MAELEZO
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini