katika kuboresha utoaji vibali vya ukazi nchini,idara ya uhamiaji inapenda kuutarifu umma kuwa kuanzia sasa imezindua mumo wa uhakiki vibali vya ukaazi kwa kutumia njia ya kielectronic "e-veriication"kupitia tovuti yake www.immigration.go.tz
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini