Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Serikali Mnawajibika Kuyafuta Machozi ya Hawa Waandishi..Tazama Wakisimulia Huku Wakilia


Jumamosi ya April 22, 2017 kuliripoiwa taarifa ya waandishi wa habari saba kushambuliwa na wanaodaiwa kuwa wafuasi wa CUF wanaomuunga mkono Prof. Lipumba wakati wanatekeleza wajibu wao kitaaluma katika Hotel ya Vina, Dar es Salaam.

Ayo TV na millardayo.com imekutana na baadhi ya waandishi hao ambao walikutwa na mkasa huo na hapa wanasimulia namna tukio hilo lilivyotokea hadi kupelekea mmoja wao kutaka kujirusha kutoka ghorofa ya nne ili kuokoa maisha.

Bonyeza play kutazama… 

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017