Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

VIDEO:Yusuph Mlela Atoboa Siri Kali Kuhusu Msanii Nay wa Mitego Ambazo Wengi Tulikuwa Hatuzijui

Baada ya mama ya mtoto wake kutokea mitandaoni na kueleza Nay hashughuliki na mtoto wake na ila anatafuta kiki naye, muigizaji mkali Yusuph Mlela pia amejitokeza kukashifu Nay wa Mitego.


Akizungumza na global TV alieleza ya kwamba Nay wa Mitego alikuwemo Chokoraa miaka iliyopita na kuna mambo mbalimbali ya aibu iliyotokea wakati humo ambayo utayapata kwenye hii video:


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017