Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

AJALI MBAYA : Mtu Na Mpenzi Wake Wafa Kwa Ajali Wakifanya Mapenzi Huku Wakiendesha Gari


Ukisikia maajabu dunia ni basi ndio haya, na hiki kinaweza kuwa ni kituko cha mwaka na style amazing sana ya kufa iliyowahi kutokea duniani. Maana watu wengi wanakufa baada ya kuumwa sana, wengine kwa kuuawa na wengine kwa kupata ajali mbalimbali, ila ajali hii ni ya kipekee kabisa kuwahi kutokea toka dunia iumbwe.

Mrembo huyu na Boyfriend wake wamekutana na mauti yao wakati wakijaribu kutafuta na kugundua njia nyingine nzuri zaidi ya kuenjoy sex, na katika kujaribu hilo, waliamua kufanya mapenzi huku wakiendesha gari katika barabara kuu ya North Coast huko Marekani. Inaelekea waliienjoy kwa muda mrefu mpaka ikafika sehemu wakashindwa kucontrol gari na ikaacha njia then ikaenda kugonga kwenye kingo za barabara na kufa hapo hapo…


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017