Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Ajali Mbaya: Tazama Picha Na Video Za Ajali Hii…Inasikitisha

Video ambayo ilichukuliwa kwa kamera za CCTV imeonyesha ajali mbaya ambayo imetokea nchini Kenya ambapo imehusisha gari aina ya Vitz, mlinzi alikuwa akimuelekeza dereva wa Vitz sehemu ya kupaki ambapo pembeni palikuwa na mwanamke amekaa pembezoni mwa barabara lakini kilichotokea baada ya hapo kinaweza kukuvunja moyo.
Dereva wa gari hiyo ambae ni mwanamke inavyosemekana alikuwa lena hivyo gari likamshinda kurudisha nyuma na kujikuta amemparamia mwanamke aliyekaa na kumbamiza ukutani..Haijajulikana bado kama mwanamke huyo alipona ama la.

Tazama video hii hapa chini, inauma na inasikitisha mama wa watu hana hili wala lilee
Video hii hapa chini


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017