Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Fuatilia Live Yanayojiri Bungeni Dodoma – Jumatatu Mei 8 2017

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamesimama kwa dakika moja ikiwa ni kuwakumbuka watu 36 wakiwemo wanafunzi 32 waliopoteza maisha kwenye ajali juzi, Karatu.
Wabunge wote wamekubali kutoa posho yao yote ya leo kwa ajili ya rambirambi kwa familia za wanafunzi 32 waliopoteza maisha kwenye ajali juzi, Karatu.
KIAPO: Catherine Nyakao Ruge (CHADEMA) aliyeteuliwa kuwa Mbunge wa Viti Maalum kuchukua nafasi ya Dkt. Macha, ameapa kiapo cha uaminifu bungeni leo.


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017