Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Fuatilia LIVE Yanayojiri Bungeni, Kipindi cha Maswali na Majibu – Mei 2

LEO Mei 2, 2017 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaendelea na vikao vyake mjini Dodoma ambapo leo Bajeti ya Wizara ya Afya inatarajiwa kusomwa na kujadiliwa.
Ripoti ya Kamati ya Maadili ya Bunge kuhusu sakata la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kudaiwa kutoa kauli ya kudharau Bunge.
Ripoti ya Kamati ya Maadili ya Bunge kuhusu mbunge Ester Bulaya kudaiwa kukidharau kiti cha Spika.
Ripoti ya Kamati ya Maadili ya Bunge kuhusu wabunge Freeman Mbowe na Halima Mdee kudaiwa kutoa lugha isiyo na staha kwa Spika.


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017