Jaji mweupe nchini Afrika Kusini amejiuzulu baada ya
kutoa matamshi mwaka jana katika mitandao ya kijamii kuwa matukio ya ubakaji ni
utamaduni wa watu weusi.
Jaji huyo wa mahama kuu Mabel Jansen alikuwa katika
mapumziko akisubiri upelelezi wa mahakama kufanyika juu ya sakata hilo.
Matamshi hayo yalifichuliwa na rafiki yake ambaye
hakutajwa jina.
Afrika Kusini ni miongoni mwa nchi zenye asilimia
kubwa ya matukio ya ubakaji duniani.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini