Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Je Fainali Ya FA Simba Na Mbao Itachezwa Lini Na Wapi? Majibu Haya Hapa

Mara nyingi tumezoea kuona timu za Dar es Salaam kufika hatua za juu katika mashindano mbalimbali hivyo kutokana na zote kuwa Dar es Salaam, mchezo wa fainali kama wa Kombe la FA huchezwa uwanja wa Taifa, vipi kwa Simba ya Dar es Salaam na Mbao FC ya Mwanza fainali yao watachezea uwanja gani? kanuni zinasemaje?

“Fainali ya FA itachezwa mara baada ya Ligi Kuu Tanzania bara kumalizika lakini haitavuka mwezi May tunashauriwa na CAF na FIFA msimu wenu unapofikia mwisho kumaliza kila kitu msimu wetu naishia May 30, mwenye mamlaka ya kuamua mchezo wa fainali wa FA Cup uchezwe wapi ni TFF” - Alfred

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017