Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Dar es salaam Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Awadhi Haji akimhoji dereva wa bodaboda alipokuwa amewabeba watoto wa shule watatu,huku akijua kufanya hivyo ni kosa. Dereva huyo alikamatwa leo asubuhi maeneo ya Mbezi Makonde jijini Dar es salaam. Watanzania tuungane pamoja tupunguze ajali na kuokoa maisha ya watoto wetu wa shule na raia wengine, kwa kweli....Hii haikubaliki!
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini