
RED
BULL Huuzwa katika maduka makubwa (Supermarkets) na madogo (Retail
Shops) katika nchi ya Tanzania, watu wazima na watoto wengi wana mazoea
ya kunywa kinywaji hiki ambacho kinaweza kusababisha kifo. Kemikali
zinazopatikana katika kinywaji cha RED BULL zilitengenezwa maalum katika
maabara za kijeshi za Marekani kwa ajili ya kutuliza mzuka wa maaskari
wao wakati wakitekeleza mauaji ya kikatili sana dhidi ya wananchi wa
Vietnam miaka ya sitini na sabini. Kemikali hizozilitumika pia kama dawa ya kuwazindua watu waliozirai (“stress coma”).
Hazikukusudiwa kutumiwa kama kinywaji au kilevi cha kawaida! Duniani kinywaji hiki
(RED BULL) huuzwa kama kitu cha kuleta msismko (Energizer Drink) na matangazo
yake
yanataja sifa zake kama ifwatavyo. “Ni kinywaji kinachompa mtu nguvu ya
kustahimili na umakini. Humpa mtu kasi ya vitendo” na kadhalika.
RED
BULL imesambaa katika nchi 100 kwa mpigo (nchi masikini!). Na matangazo
yake huwalenga vijana na watoto, hasa wanamichezo. Hawa ni rahisi
kushabikia kinywaji hiki kibaya na kudhurika kiafya baadaye. Katika hali
yake ya matumizi ya sasa kinywaji hiki kiligunduliwa na Mjerumani
Dietrich Mateschitz ambaye alikikuta huko Hong Kong kikiwa ni mojawapo
ya madawa yaliyotumika katika kutengeneza dawa ya mswaki wa meno.
Dawa hiyo ilitengenezwa kwa kemikali ambazo zina kafeni na taurini (“caffeine and “taurine).
Mjerumani
huyo aliona vijana wajinga wa huko wakishabikia unywaji wake akaona
mwanya wa kufanya biashara na akafanikiwa kukileta ulaya. ATHARI ZA
KUNYWA RED BULL Kinywaji kinachotengenezwa na kusambazwa leo hii kina
kemikali mbaya iitwayo “Glucuronolactone”, kemikali hatari ambayo
ilitengenezwa na idara ya jeshi la Marekani wakati wa vita na Vietnam
kwa ajili ya kutuliza mvurugiko wa mawazo wa maaskari wake uliotokana na
mauaji ya kinyama waliokuwa wanafanya huko Vietnam.
Kwa
sababu ya madhara makubwa ya kinywaji hiki nchi za FRANCE na DENMARK
zimepiga marufuku kinywaji hiki na kibatiza jina la “MKOROGO WA UMAUTI”.
Katika nchi hizi, utafiti uligundua kuwa maaskari wa Marekani
waliotumia kinywaji chenye
kemikali
ya “GLUCURONOLACTONE” waliishia kupata madhara ya maumivu makali ya
kichwa, uvimbe wa ubongo na hata ugonjwa wa ini (Migraines, Cerebral
tumours and liver diseases).
Na
kwa sababu hiyo wamarekani waliacha kuwapa maaskari wao hicho kinywaji
katika miaka ya sitini na sabini. Jambo la kushangaza ni kuwa lebo ya
RED BULL inaonyesha wazi kuwa kinwaji hiki kimetengenezwa kwa kemikali
hatari ya “GLUCURONOLACTONE”! Ni kwa sababu hiyo serikali za Denmark na
Ufaransa nazo zikapiga marufuku unywaji wa RED BULL. Pamoja na wauzaji
wa RED BULL kuweka bayana kuwa ndani mwake mna hiyo kemikali hatari ya
“GLUCURONOLACTONE” lebo ya RED BULL hailezi madhara makubwa yanayoletwa
na kemikali hiyo.
Madhara ambayo hayakuwekwa bayana kwa mnywaji ni kama yafuatayo:
1.
Ni hatari kwa mtu ambaye hafanyi kazi au mazoezi mazito sana kukitumia
kwani kina tabia ya kuongeza msukumo wa damu na kasi ya mapigo ya moyo
kiasi kwamba mtumiaji anaweza kupatwa na ugonjwa wa moyo.
2.
Mtumiaji anaweza kupatwa na ugonjwa wa damu kuvuja ubongoni kwani RED
BULL ina kemikali zinazoifanya damu iwe nyembamba ili moyo upate
kusukuma damu nyingi bila kutumia nguvu nyingi.
3.
Ni hatari kuchanganya RED BULL na pombe ya aina yoyote kwani
mchanganyiko wake huwa ni sumu (“Deadly Bomb”) inayoathiri musuli za ini
la mtumiaji na kuiacha katika hali ambayo haitapona kamwe.
4.
RED BULL Ina vitamini B12 kwa wingi, vitamini ambayo hutumiwa kama dawa
ya kuwazindua wagonjwa mahututi. Matumizi ya vitamini hii katika watu
wazima ina athari za kuleta shinikizo la damu na humfanya mtu ajisikie
kama mlevi.
5.
Unywaji wa RED BULL mara kwa mara huvuruga mfumo ya neva za fahamu na
husababisha maradhi mithili ya mfadhaiko wa akili usioponyeka.
HITIMISHO:
RED
BULL ni kinywaji HATARI SANA ambacho hapana budi kipigwe marufuku
katika nchi zote zinazoendelea kwani ni dhahiri kimetengenezwa na
kusambazwa ili kiathiri afya za wananchi wasiojiweza wa nchi hizi
masikini. Kwa kuwa wengi katika nchi hizi hutumia pombe za kila aina ni
wazi kuwa kinywaji hiki kinalenga kuwamaliza watu watu wetu– kana kwamba
ukimwi uliobuniwa na hao wabaya wetu hautoshi!
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini