Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

LIVE: Fuatilia Hapa Ibada Ya Kuwaaga Wanafunzi Waliofariki Katika Ajali Karatu


Ibada ya kuaga milii ya marehemu waliofariki katika ajali ya basi wilayani Karatu, mkoani Arusha Aprili 6 mwaka huu. Ibada hii inafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha.
Viongozi mbalimbali na wananchi wakiongozwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu wamejitokeza kwa wingi kutoa heshima zao za mwisho.


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017