Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Mamlaka Ya Hali Ya Hewa Nchini(TMA), Imetoa Utabiri Wa Hali Ya Hewa Ulioambatana Na Angalizo Unaoanza Siku Ya Leo.

Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini(TMA), imetoa utabiri wa hali ya hewa ulioambatana na angalizo unaoanza siku ya leo.
- Vipindi vifupi vya mvua kubwa vinatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya mkoa wa Dar, Morogoro, Pwani, Kagera, Geita, Lindi, Mtwara, Kigoma, Tanga pamoja na visiwa vya Pemba na Unguja.


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017