Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Man City Yafungiwa Kusajili Kwa Miaka Miwili, Yapigwa Faini Ya Pauni 300,000

Manchester City wameingia kwenye anga za rungu la FA ya England baada ya kufungiwa kusajili wachezaji vijana chino ya miaka 18.

Man City imefungiwa kusajili wachezaji wa aina hiyo kwa miaka miwili ikiwa ni pamoja na kupigwa faini ya pauni 300,000 baada ya kubainika walivunja sheria za usajili.


Imeibainika kwamba walivunja kanuni za Premier League baada ya kujaribu kumsainisha mchezaji ambaye alikuwa na mkataba na timu nyingine bila ya kufuata utaratibu sahihi.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017