Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Maulid Kitenge; Inasikitisha Diamond Na Ali Kiba Wameshindwa Kuonesha Uzalendo Kwa Serengeti Boys, Wamegoma Kuimba

Mtangazaji wa Michezo maarufu Tanzania Maulid Kitenge ambaye kwa sasa anasikilizwa zaidi kwenye mawingu ya Radio EFM Dar es salaam Tanzania ameonyesha kusikitishwa na Diamond na Ali Kiba kushindwa kufanya wimbo kwaajili ya kuhamasisha timu ya Serengeti Boys.
Kupitia mtandao wa twitter Maulid Kitenge aliandika ujumbe huu Leo 11:01 AM – 27 Apr 2017.
Kiba na Diamond wameshindwa kuonesha uzalendo kwa Serengeti Boys wamegoma kuimba wimbo wa hamasa licha kuwepo kamati ya hamasa.inasikitisha


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017