Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Mguu Uliokatwa Wafunguliwa Akanti Ya Instagram.

Mwanamke mmoja ambaye aliwashawishi madaktari kumkubalia kuhifadhi mguu wake uliokatwa, ameanzisha akaunti ya Instagram ya mguu huo.

Kristi Loyall mwenye umri wa miaka 25 alipatikana na aina nadra sana ya saratani katika mguu wake wa kuume, na akaambiwa kuwa njia pekee ya kushughulikia tatizo hilo ni kuukata.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017