Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Msanii Maarufu Duniani Rihanna Ataja Sehemu Ya Mwili Wake Ambayo Haipendi..Kashangaza Wengi

Ukimuuliza mtu yeyote duniani,kati ya wanamuziki wenye mvuto zaidi, jina la Rihanna haliwezi kukosekana kutajwa.

Lakini hivi karibuni, Rihanna ametushangaza wote kwa kuweka wazi sehemu ya mwili wake ambayo haipendi kuliko vyote.

Amekieleza chombo cha habari cha E! kwamba, “Kila mwanamke huwa na tabia ya kujiatzama kwenye kioo, na kujikagua zaidi hata ya dunia inavyokukagua. Binafsi huwa najiangalaia na sipendi makalio yangu yalivyo. Huwa naangalia kila siku kuona kama yameongezeka ukubwa lakini kila siku nayaona ‘flat'”



Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017